Thursday, December 20, 2012

NEWZ:LULU AACHIWA KWA DHAMANA

Msanii wa BONGO MOVIE ali maarufu km LULU(Elizabeth Michael) Ameachiwa kwa Dhamana leo hii..Kutokana kwa kukaa muda mrefu Gerezan kwa kusikiriza kesi inayomkabir ya kifo cha msanii mwenzake STEVEN KANUMBA..Kuachiwa kwake kwa DHAMANA kunatokana na kuamriwa kuwa alisababisha kifo bila ya Kukusudia..Welcome Uraiani Lulu..Mungu akubariki..

No comments:

Post a Comment