Wednesday, January 9, 2013

KIOJA:Nairobi ya Mwalimu iko wapi??

Mtoto katoka shulen huku analia na akafka nyumban.
Babake,"unalia nin!"
Mtoto,"nmepgwa,nmeambiwa twende wote shulen."
Wakaenda shulen na wakaingia ofsin.
MWALIMU,"karibun!Mtoto wako tumemuulza Nairobi iko wap kashndwa,ndio tukaona tumuazib."
BABA akamgeukia mtoto wake na kumpga mibao akmwambia,"mpumbav mkubwa!Kla siku nakukataza kuchezea vitu vya watu ukomi!Haya Nairobi ya mwalimu umepeleka wap!?"
Walimu ofisin wote vicheko!!

Monday, January 7, 2013

WAONE HAWA:WANAWA ACT CR7 na MESSI JINSI WATAKAVYOCHUKUA TUZO.

Watch "Cristiano Ronaldo vs. Messi Ballon d'OR 2012 Preparations (CR7 vs. Messi in Real Life Episode #6)" on YouTube
Tuzo za mchezaji bora wa Dunia zinafanyika leo pale swizz.Wanaowania Tuzo hiyo ni Messi,Ronaldo na Iniesta..sasa link ya video hiyo hapo juu inaonyesha reaction za messi na ronaldo jinsi watakavyochukua Hiyo Tuzo..but siyo kweli ni wa2 wame act tuuu..