Thursday, September 22, 2011

KILA KITU KINAWEZEKANA,ISSUE NI KUJIPANGA TUU!!!

Hey friends...Jueni kuwa katika MAISHA kuna KUKOSA na KUPATA...So usiforce kitu ambacho kuwezi kukipata angali UWEZO wa kukipata hicho kitu huna...Na BAHATI ya mwenzio usilalie MLANGO wazi!!!Kama una NIA kweli ya kufanikiwa katika MALENGO YAKO,ishu ni KUPANGILIA MAMBO yako NA KUJIPANGA FLESH!!!Ni hayo tu..
...Tchaooo..

KILA KITU KINAWEZEKANA,ISSUE NI KUJIPANGA TUU!!!

Tuesday, September 20, 2011

ellininog: carling cup

ellininog: carling cup: leo kutakuwa na baadh ya mechi zitakazochezwa ktk viwanja mbalimbali nchin uiengereza.manchestes utd vs leeds..arsenal atacheza na timu ya d...

carling cup

leo kutakuwa na baadh ya mechi zitakazochezwa ktk viwanja mbalimbali nchin uiengereza.manchestes utd vs leeds..arsenal atacheza na timu ya daraja la pili.So tusubilie matokeo yake kwan hii michuano inahusisha timu kubwa za ligi kuu na timu ndogo.have a nice day..
TCHAOOO

Sunday, September 18, 2011

MAN UTD 3-1 CHELSEA...any COMMENTS..

MAN UTD 3-1 CHELSEA...any COMMENTS..

Dah sijabahatika kuingalia hii MATCH jamanii
..Am so pain..

MAN UTD 3-1 CHELSEA..FT...Any COMMENTS....

Dah sijabahatiika kuicheck hii MECHI jamani...
..Am so pain...

MAN UTD 3-1 CHELSEA..FT...Any COMMENTS....

KWANINI IWE BLUE MONDAY???

KWANINI IWE BLUE MONDAY???

Imeitwa BLUE MONDAY...Unajua kwanini imeitwa BLUEMONDAY...
Nadhan kwa sabab ni MATUMIZ yasiyokuwa MPANGO kwa mtu..Ni matumizi yaliyo MABOVU hasa pale zinapokuja cku za J/mos na j/pili...Mtu anapofanya uoujaji wa hela kwa kutojali kitu kitakachomtokea MBELE yake hasa kwa siku km ya jumatatu iliyowakalia kushoto WATU wengi hasa kwa WAFANYA KAZI..
..Ni vizuri kutumia fedha vizuri ili isikutokee hii ishu ya BLUE MONDAY...
...Jumatatu njema jamani...
..Tchaoooo..

ITS SUNDAY..!!

Happy SUNDAY...

ITS SUNDAY..!!

Happy SUNDAY...
Hii ni SIFA MOJA wapo ya WAISHA;
Maisha ni kama GWARIDE mkisikia NYUMA GEUKA wa MWISHO anakuwa WAKWANZA...Teh teh teh teh teh teh...JIPANGEEE my friend life iz change..
..Tchaooo..

MAN UTD vs CHELSEA & sir.ALEX FURGUSON vs VILLA BOASMAN UTD vs CHELSEA & sir.ALEX FURGUSON vs VILLA BOAS

Sir.Alex furguson Vs Villa Boas
Man UTD Vs Chelsea
Aisee..Hii mechi ni nomaa rafiki zangu coz kila m1 anataka USHINDI..Sitaki kuongea MAMBO mengi we cha kufanya ni kuangalia MPIRA mpaka DK ya MWISHO alaf tuambizane hapo BAADAE.
..Tchaooo..

Saturday, September 17, 2011

UNAZITUMIAJE SIKU ZA JUMAMOSI NA JUMAPILI KWAKO???

Niaje,ni flesh eeeh...!!Hakuna mtu asiyezijua hizo siku za j/mosi & j/pili...Sasa hebu niambie unazitumiaje hizo siku kila zinapofika??
..Tchaooo..

Weekend jamani!!Weekend!!!

Niaje wajameni!!Nadhan ni full na haina MAJANGAAA.....
..Weekend ndio hiyo imefika jamani km wa kujirusha mkajirushe lakini kwa malengo,kwa wale wenye FAMILIA jaribuni kutoka na familia zenu kwani MUNGU anawazidishia baraka pale unapoonesha UPENDO kwa FAMILIA yako...Na kwa wale msiokuwa na ishu yeyote ya kufanya au hujisikii kutoka ni vizuri ukakutana na MARAFIKI zako MKABADIRISHANA mawazao ya hapa na pale....
Ni hayo tuu...Nawatakia weekend njema yenye BARAKA na NEEMA..
...Tchaooo..

Friday, September 16, 2011

Happy friday

Happy friday friends...Happy weekend..
...ellininog's blogs...
..Tchaoooo..

The EXPANDABLE 2(2012)

Kuna MOVIE inatwa THE EXPANDABLE.Nan aliyeiona??Ni bonge la MOVIE...nadhan ilitoka mwaka 2010 bt cna uhakika..Movie hiyo ime ektiwa na MASTAR mbalimbali wakiwemo sylivester stallone rambo,Anorld shwesniger,jet lee,dolph rundering,bruce wills na wengineo..
..Kwa taarifa zilizojir hv karibuni kuwa wanajiandaa kutoa The Expandable2..Na kuwaongeza baadh ya ma'star wengine,wanaotarajiwa kuongezwa kwenye hiyo movie part2 ni chuck noris na van dame..Wengineo ni john travolta na nickorus cage
..So kaa tayar kwa hiyo movie itakayotoka 2012..

Tanesco na MGAO wa UMEME

TANESCO walisema kwamba wanapunguza MAKALI ya MGAO wa UMEME unaoendelea hapa TZ..!!Sasa huko kupunguza huo mgao WANAKATA asubuh kurud jion au km wakihuachia wanauwacha kwa masimango yan WANAUKATAKATA tu,hamna raha yeyote ile..
..Damn it..
Manchester united Vs Chelsea on SUNDAY
...Kocha wa chelsea VILLA BOAS aseama kwamba CHELSEA wataifunga MAN UTD.....
..Yani ni BONGE LA MECHI.
Soko la SIDO lililopo mwanjelwa MBEYA linateketea kwa MOTO...

ellininog: Ellininog's blogs..Is online now!!!

ellininog: Ellininog's blogs..Is online now!!!: Ellininog's blogs..Is online now!!!

Thursday, September 15, 2011