Wednesday, April 10, 2013

RIP KHALIFA SHABANI"ZIZZOU"

Ni siku ya majonzi Tarehe 10/04/2013 pale Rafiki yetu..kaka yetu..ndugu yetu..mshikaji mwenzetu..Khalifa Shabani..Maarufu kama Khalifa Zizzou..Ametutoka DUNIANI..Hatuna budi kumshukuru Mungu Kwani yeye ndiye muweza wa kila kitu..
Kalale kwa AMANI kaka..
RIP khalifa Shabani...ZIZZOU

Wednesday, March 13, 2013

UJABAHATIKA KUONA VIDEO YA SHUTUMA YA RWAKATALE??..HII HAPA

Watch "VID-20121228-00005" on YouTube

Check this video..Inayomuonyesha mtuhumiwa "Rwakatale" akipanga mikakati ya kuteka nyala..Lakin kesi bado ipo mikononi mwa polisi

Wednesday, January 9, 2013

KIOJA:Nairobi ya Mwalimu iko wapi??

Mtoto katoka shulen huku analia na akafka nyumban.
Babake,"unalia nin!"
Mtoto,"nmepgwa,nmeambiwa twende wote shulen."
Wakaenda shulen na wakaingia ofsin.
MWALIMU,"karibun!Mtoto wako tumemuulza Nairobi iko wap kashndwa,ndio tukaona tumuazib."
BABA akamgeukia mtoto wake na kumpga mibao akmwambia,"mpumbav mkubwa!Kla siku nakukataza kuchezea vitu vya watu ukomi!Haya Nairobi ya mwalimu umepeleka wap!?"
Walimu ofisin wote vicheko!!