Thursday, December 27, 2012

KICHUPA KIPYA:GOLDIE FT AY-SKIBOBO

Watch "Goldie Ft. AY - Skibobo [Official Video]" on YouTube

Ngoma hii ni kali sana ikizingatiwa kuwa AY ni msanii wa BONGO TZ lakin anafanya vyema EAST A na AFRICA nzima..Goldie ni MGHANA na ana kipaji pia..
Katika nyimbo hii ya SKIBOBO nimependezewa na style ya uchezaji wake..
Icheck hapo juu kwenye link..

No comments:

Post a Comment