Friday, September 16, 2011

Tanesco na MGAO wa UMEME

TANESCO walisema kwamba wanapunguza MAKALI ya MGAO wa UMEME unaoendelea hapa TZ..!!Sasa huko kupunguza huo mgao WANAKATA asubuh kurud jion au km wakihuachia wanauwacha kwa masimango yan WANAUKATAKATA tu,hamna raha yeyote ile..
..Damn it..

No comments:

Post a Comment