Thursday, September 22, 2011

KILA KITU KINAWEZEKANA,ISSUE NI KUJIPANGA TUU!!!

Hey friends...Jueni kuwa katika MAISHA kuna KUKOSA na KUPATA...So usiforce kitu ambacho kuwezi kukipata angali UWEZO wa kukipata hicho kitu huna...Na BAHATI ya mwenzio usilalie MLANGO wazi!!!Kama una NIA kweli ya kufanikiwa katika MALENGO YAKO,ishu ni KUPANGILIA MAMBO yako NA KUJIPANGA FLESH!!!Ni hayo tu..
...Tchaooo..

No comments:

Post a Comment