Kuna MOVIE inatwa THE EXPANDABLE.Nan aliyeiona??Ni bonge la MOVIE...nadhan ilitoka mwaka 2010 bt cna uhakika..Movie hiyo ime ektiwa na MASTAR mbalimbali wakiwemo sylivester stallone rambo,Anorld shwesniger,jet lee,dolph rundering,bruce wills na wengineo..
..Kwa taarifa zilizojir hv karibuni kuwa wanajiandaa kutoa The Expandable2..Na kuwaongeza baadh ya ma'star wengine,wanaotarajiwa kuongezwa kwenye hiyo movie part2 ni chuck noris na van dame..Wengineo ni john travolta na nickorus cage
..So kaa tayar kwa hiyo movie itakayotoka 2012..
No comments:
Post a Comment