Wednesday, January 9, 2013

KIOJA:Nairobi ya Mwalimu iko wapi??

Mtoto katoka shulen huku analia na akafka nyumban.
Babake,"unalia nin!"
Mtoto,"nmepgwa,nmeambiwa twende wote shulen."
Wakaenda shulen na wakaingia ofsin.
MWALIMU,"karibun!Mtoto wako tumemuulza Nairobi iko wap kashndwa,ndio tukaona tumuazib."
BABA akamgeukia mtoto wake na kumpga mibao akmwambia,"mpumbav mkubwa!Kla siku nakukataza kuchezea vitu vya watu ukomi!Haya Nairobi ya mwalimu umepeleka wap!?"
Walimu ofisin wote vicheko!!

No comments:

Post a Comment