Tuesday, November 22, 2011

RAHA YA CHRISTMAS HUWA HAIBADILIKI TAREHE!!

christmas ni sikukuu inayosheherekewa ktk pande zote za dunia hasa ni za ulaya na amerika.lakin ktk bara la afrika nalo lina muhamko wa hali ya juu na sikuu hii,na uzuri wa sikuu hii huwa haibadiliki tarehe ambalo ni jambo zuri kwa mtu kuipanga na mambo yake...ok jamani christmas ndo hiyo inakuja.

No comments:

Post a Comment